
TANZANIA PRISONS BADO WAPO PALEPALE
LICHA ya kupata pointi moja mbele ya Mtibwa Sugar bado Tanzania Prisons inabaki palepale ilipokuwa nafasi ya 16 baada ya kucheza mechi 17. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Sokoine ulisoma Prisons 0-0 Mtibwa Sugar. Mtibwa Sugar pia inafikisha pointi 16 katika msimamo ipo nafasi ya 12 na imecheza mechi 17. Prisons…