
KLOPP KUSEPA LIVERPOOL
JURGEN Klopp,Kocha Mkuu wa Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu England amethibitisha kwamba ataondoka ndani ya timu hiyo mkataba wake utakapomeguka 2024. Ameongeza kuwa anaweza kuamua kubaki hapo ikiwa tu ataona ana nguvu ya kuweza kuiongoza timu hiyo. Liverpool chini ya Klopp iliweza kuvunja mwiko wa kupitisha miaka 30 kusubiri taji la Ligi Kuu England akiwa amekaa…