
UWANJA WA MKAPA YANGA V KAGERA SUGAR VITA YA KISASI
LEO Uwanja wa Mkapa itakuwa ni vita ya kisasi kwa Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu Francis Baraza v Yanga inayonilewa na Nasreddine Nabi katika mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga ni vinara katika mchezo wa kwanza walishinda bao 1-0 Uwanja wa Kaitaba na mtupiaji alikuwa ni Feisal Salum ambaye leo ataukosa mchezo kutokana na…