
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
PABLO Franco Kocha Mkuu wa Simba ametenga siku mbili sawa na saa 48 za vijana wake kupata ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United ambao unatarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba Machi Mosi 2022 kikosi cha Simba kiliweza kurejea nchini baada ya kuwa Morocco kwenye mechi ya kimataifa na…
KAMPUNI kubwa ya michezo ya kubashiri (betting) ya SportPesa, imetangaza ‘Jackpot’ mpya ambapo sasa mshindi anaweza kujishindia mpaka shilingi 985,669,400/- kwa dau la shilingi 2000 pekee. Akitangaza kuzinduliwa kwa Jackpot hiyo, Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Abbas Tarimba, amesema Jackpot hiyo ni endelevu na mpaka sasa hakuna kampuni yoyote ya ‘betting’ nchini inayotoa…
Ni wikiendi ya kibabe katika kuuanza mwezi wa 3 mwaka huu wa 2022. Ni mwendo wa ‘Big Match’ kunako EPL na Serie A. Mbio za Top 4 vs vita ya kuwania Scudetto, Meridianbet mambo ni moto!!! Alaves vs Sevilla kufungua duru ya burudani wikiendi hii. Huu ni msimu ambao Sevilla wanaonesha nia thabiti ya kuwania…
Meridianbet kwa kushirikiana Emanuel Mkuchu (muandaaji wa Meridianbet Mkuchu cup) pamoja na Taasisi ya Bega kwa Bega na Mama, walishirikiana kuandaa matembezi ya hisani yaliyoambatana na ufanyaji usafi wa zahanati ya Kunduchi ikiwa ni pamoja na kutoa vifaa tiba na vifaa vya usafi wa ndani na nje ya zahanati hiyo. Zoezi hilo lililofanyika Februari 26,…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameeleza kuwa anafurahishwa na kasi ya washambuliaji wa timu hiyo, Fiston Mayele pamoja na kiungo Said Ntibanzokiza.
KUSHINDWA kupata matokeo kwenye mechi moja ugenini haina maana kwamba kazi imekwishwa na hakuna uwezo wa kupata ushindi kwa mechi zijazo hapana. Ipo wazi kwamba ilikuwa kazi kubwa kusaka pointi ugenini mwisho wa siku wawakilishi wetu kwenye mashindano ya kimataifa wakapata pointi moja kati ya sita ambazo walikuwa wanazisaka. Makosa yapo na nina amini kwamba…
LICHA ya kupata pointi moja mbele ya Mtibwa Sugar bado Tanzania Prisons inabaki palepale ilipokuwa nafasi ya 16 baada ya kucheza mechi 17. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Sokoine ulisoma Prisons 0-0 Mtibwa Sugar. Mtibwa Sugar pia inafikisha pointi 16 katika msimamo ipo nafasi ya 12 na imecheza mechi 17. Prisons…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza ‘Diego’amesema kuwa Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga ana uwezo mkubwa wa kucheza na kufunga. Kiiza aliyewahi kuichezea Yanga kabla ya kwenda Simba, alitoa kauli hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Februari 27,2022….
ROMAN Abramovich usiku wa Jumatano kwa hisia amethibitisha kwamba yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Abramovich ameamua kuuvunja ukimya baada ya taarifa kuwa nyingi zikieeleza kwamba tayari timu hiyo ipo sokoni. MailOnline mapema Jumatano iliripoti kwamba Chelsea imewekwa sokoni na kiasi ambacho kilikuwa kinahitajika ni Euro bilioni 3. Abramovich usiku uliopita amesema:”Nimeamua kuchukua maamuzi…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
BILIONEA Roman Abramovich inatajwa kwamba ameanza kuuza vitu ambavyo anavimiliki ndani ya England kwa bei ya hasara na anajaribu pia kuweza kuuza umiliki wa timu ya Chelsea kwa dau la euro bilioni 3 na milioni 200 kwa hofu ya kuweza kuzuiliwa vitu vyake kwa kuwa ni raia wa Urusi. Miongoni mwa vitu ambavyo anamiliki na…
BEKI wa kazi chafu, mzawa Shomari Kapombe anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco pamoja na msaidizi wake Seleman Matola ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Februari. Kapombe ametwaa tuzo hiyo kwa kuwashinda wenzake wawili ambao aliingia nao fainali katika kuwania tuzo hiyo. Beki wa kati Henock Inonga…
MTANGAZAJI mahari wa habari za michezo ambaye pia hutangaza mechi ndani ya Azam TV, Pascal Kabombe ameweka wazi historia ya maisha yake kwa kuanza kazi ya kuwa Dj kisha mpaka alipofika hapa kwenye hatua ya kutangaza.
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale wanaosema kuhusu mchezaji wao mpya Chico Ushindi watamuelewa tu kwa sababu hakusajiliwa kwa makosa. Chico ambaye ni ingizo jipya kwenye dirisha dogo mechi mbili za ligi amecheza na kutumia dakika 19. Nabi amesema kuwa anasikia wengi wanazungumza kuhusu uwezo wa Chico na kwa nini hachezi hilo…
BILIONEA Hansjorg Wyss raia wa Switzerland inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kuhitaji kuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea kwa kuwa anahitaji kuinunua baada ya habari kuelezwa kwamba Roman Abramovich yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Bilionea huyo mwenye miaka 86 inaonekana kwamba anauhitaji wa kuwa mmiliki wa Chelsea inayotumia Uwanja wa Stamford Bridge…
MTUPIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga Fiston Mayele akipata maneno kutoka kwa mmoja ya waliohudhuria maziko ya mzee Said Mohamed ambaye ni baba wa mdhamini na mfadhili wa Klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed,(GSM). Ni jana Machi 2022 alipumzishwa katika makazi yake ya milele katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Mayele ametupia…