
MAYELE APEWA MANENO WAKATI WA KUMPUMZISHA BABA MZAZI WA GSM
MTUPIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga Fiston Mayele akipata maneno kutoka kwa mmoja ya waliohudhuria maziko ya mzee Said Mohamed ambaye ni baba wa mdhamini na mfadhili wa Klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed,(GSM). Ni jana Machi 2022 alipumzishwa katika makazi yake ya milele katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam. Mayele ametupia…