KIUNGO YANGA AINGIA ANGA ZA SINGIDA BIG STARS
BAADA ya mabosi wa Yanga kumpa mkono wa kwa kheri nyota wao Deus Kaseke Julai 14 inaelezwa kuwa nyota huyo yupo kwenye mazungumzo na Singida Big Stars ili aweze kuwa ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga iliweka wazi kwamba; “Umekuwa sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio kwenye…