
SIMBA YAPANIA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA
SALIM Abdallah,’Try Again’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba kuwa malengo ya timu hiyo kimataifa ni kuweza kufanya vizuri kwenye mechi ambazo watacheza. Kwenye kundi D la Kombe la Shirikisho Simba ni namba moja ikiwa na pointi 7 baada ya kucheza mechi 4 inafuatiwa na ASEC Mimosas iliyo nafasi ya pili na pointi 6…