
YANGA YAKUSANYA MILIONI 41
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupitia mchezo wa Hisani kati ya Yanga v Timu ya Taifa ya Somalia ni milioni 41 zimekusanywa. Yanga ilicheza mchezo wa kirafiki wa hisani ilikuwa dhidi ya Timu ya Taifa ya Somalia ulichezwa Uwanja wa Azam Complex. Manara amesema:”Mchezo uliochezwa Jumamosi iliyopita kwa ajili ya kuchangia taasisi…