KOCHA WA SIMBA KUJA NA MASHINE MPYA
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco anahitaji kuja na watu wake wa kazi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi zake ambazo atacheza. Pablo ambaye amepewa dili la miaka miwili anatarajiwa kutua nchini muda wowote kuanzia sasa baada ya kutangazwa kuwa mrithi wa mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga. Habari kutoka…