MBWANA SAMATTA, MSUVA,FEI TOTO KAMILI KUWAVAA DR CONGO
IDADI kamili ya nyota wa timu wa taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen imekamilika baada ya leo Novemba 9, Mbwana Samatta kuungana na wachezaji wenzake. Pia Simon Msuva yeye alikuwa ndani ya kikosi jana Novemba 8 na leo ameungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo huo unatarajiwa kuwa na…