>

KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI RASMI LEO

LEO Novemba 16, Kocha Mpya wa Viungo wa Klabu ya Simba, Don Daniel De Castro ameanza kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Kocha huyo wa viungo amechukua mikoba ya Adel Zraine raia wa Tunisia ambaye alisitishiwa mkataba wake Desemba 26. Jana, Novemba 15 alitambulishwa rasmi kwa mashabiki na…

Read More

SIMULIZI YA MREMBO ALIYESHINDA MATAJI MENGI

SIMULIZI ya mrembo ambaye arirejesha urembo wake baada ya ngozi yake kupata matatizo Jina langu ni Anyango kutoka katika kauti ya Kisumu. Ama kwa hakika nilikuwa mtu ambaye nilikuwa nathamini kwa hali yoyote urembo wangu. Nilikuwa mwanamitindo ambaye nilienda katika mashindano katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kila mara. Sikutaka kuwa na kitu chochote kilichikuwa…

Read More

AIR MANULA NA DAKIKA ZAKE BONGO

  KWA upande wa makipa ambao kazi yao namba moja ni kuzuia mipira kupita kwenye lango lake ni Aishi Manula yeye ni kinara kwa makipa ambao hawajaruhusu kufungwa ndani ya dakika 450. Akiwa amecheza mechi tano zte za Simba msimu huu wa 2021/22 Manula amekuwa mhimili kwenye upande wa ulinzi na kulifanya lango kuwa salama…

Read More

YANGA YAACHANA NA KIUNGO MAZIMA

YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kusaini mkataba mpya ambaye ni raia wa Ghana, Geofrey Nyarko. Nyota huyo alijiunga na Yanga baada ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili akiwa mchezaji huru kwa ajili ya kufanya majaribio ndani ya kikosi hicho….

Read More

DEMBELE AKATWA MKWANJA HUKO KISA DAKIKA TATU

OUSMANE Dembele, nyota wa kikosi cha Barcelona amekuwa wa kwanza kukutana na balaa la kocha mpya, Xavi Hernandez kisa kuchelewa kwenye mazoezi kwa muda wa dakika tatu pekee. Kwa kosa hilo ambalo amefanya amekutana na ishu ya kukatwa mkwanja mrefu kwenye mshahara wake hivyo asitarajie kupewa mshahara wake kamili kwa mwezi huu kwa kuwa amesharikoroga…

Read More

FEI TOTO:NAPENDA KUONA TIMU INASHINDA

FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amebainisha kuwa jambo ambalo analipenda akiwa uwanjani ni kuona timu yake inashinda. Fei ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao matatu na pasi moja kati ya tisa ambayo yamefungwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Katika mechi tano ametumia jumla ya…

Read More

SAIDO V MAKAMBO KWENYE VITA MPYA YANGA

UONGOZI wa Yanga baada ya kutangaza kuwa utamkosa mshambuliaji wake Yacouba Songne kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha aliyoyapata, mchezaji huyo ni kama ameacha vita ya namba kwa washambuliaji Saido Ntibazonkiza na Heritier Makambo kwa ajili ya kuchuana kuchukua nafasi ya mshambuliaji huyo. Songne aliumia katika mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya…

Read More

DEAN SMITH APATA DILI JIPYA

KLABU ya Norwich City imemteua Dean Smith kuwa kocha mpya wa kikosi hicho baada ya kumtimua Daniel Farke Novemba 7 mwaka huu. Smith amesaini kandarasi ya miaka miwili na nusu na atasaidiana na Craig Shakespeare kama kocha msaidizi. Smith ambae amefungashiwa virago kutoka Aston Villa, aliisaidia timu hiyo kupanda Ligi Kuu EPL, ndani ya msimu…

Read More

KOCHA SIMBA AWAAMBIA WASAJILI KIUNGO

ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu, basi ni lazima wahakikishe wanavunja benki kwenye dirisha dogo la usajili na kuongeza angalau kiungo mchezeshaji mmoja mwenye uwezo mkubwa.   Zrane, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes na aliyekuwa kocha wa makipa, Milton Nienov Oktoba 26, mwaka huu…

Read More

POLISI TANZANIA WAPO KAMILI KWA USHINDANI

KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kwamba malengo ya timu hiyo ni kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara ili kuweza kuwa ndani ya tano bora kwa msimu wa Kocha huyo mwenye tuzo ya kocha bora wa mwezi Septemba baada ya kuanza ligi kwa mwendo wa kasi bado timu hiyo ambayo kipa…

Read More

MECHI ZA SIMBA V YANGA, KADI NYEKUNDU NJENJE

VIGOGO wa Ligi Kuu Bara, Simba ambao ni mabingwa watetezi pamoja na Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria wakiwa na mataji 27 ya ligi wakiwa kwenye mechi zao kwa msimu wa 2021/22 kadi imekuwa ni jambo la kawaida. Hii inatokana na ugumu wa mechi hizo pamoja na wachezaji kutumia nguvu kubwa katika kusaka ushindi jambo…

Read More

MAKIPA WALIOPATA TABU MBELE YA FEI TOTO

KWENYE ardhi ya Tanzania mbali na uzuri wa mlima Kilimanjaro pamoja na wakazi wake wenye sifa ya upole na ukarimu kuna kijana anakiwasha kwenye ulimwengu wa soka kwa kufanya kazi ya mpira ionekane kuwa nyepesi. Jina lake anaitwa Feisal Salum wengi wanapenda kumuita Fei Toto ni kijana anayewapa tabu kwa sasa makipa wa Bongo kwa…

Read More