
ADEBAYO AWEKA WAZI NAMNA ATAKAVYOIMALIZA SIMBA
KIUNGO mshambuliaji wa US Gendarmerie, Victorien Adebayor, ameweka wazi kuwa atahakikisha anapambana kwa nguvu ili kuisaidia timu yake kupata ushindi dhidi ya Simba,Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo huo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho utapigwa Jumapili ya Aprili 3, unatarajia kuwa mkali kwani kila timu ina nafasi ya…