
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA V USGN
NI Aprili 3,2022 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v USGN kuchezwa saa 4:00 usiku. Simba ipo kundi D ikiwa na pointi 7 na USGN ina pointi 5 ikiwa nafasi ya nne zote zinahitaji pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa leo. Ule wa awali walipokutana ugenini walitoshana nguvu…