KOCHA MPYA SIMBA AANZA KAZI RASMI LEO
LEO Novemba 16, Kocha Mpya wa Viungo wa Klabu ya Simba, Don Daniel De Castro ameanza kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Kocha huyo wa viungo amechukua mikoba ya Adel Zraine raia wa Tunisia ambaye alisitishiwa mkataba wake Desemba 26. Jana, Novemba 15 alitambulishwa rasmi kwa mashabiki na…