
BURUDANI YA WIKIENDI IPO KWENYE LALIGA, NYASI ZITAUMIA!
Msimu wa 2021/22 unaendelea kushika kasi. Wikiendi hii ni EPL, LaLiga, Ligue 1, FA Cup na Copa Diego Maradona kutimua vumbi viwanjani. Hakika, zinazopata kashkash ni nyasi, Meridianbet tunakupa mipango tu… Wolverhampton Wanderers watakua uwanjani kuwaalika Leeds United katika muendeleazo wa EPL ijumaa hii. Kimahesabu, huu ndio ule wakati wakusema “kila mtu ashinde mechi zake”…