
MASHINDANO YA GOFI EUROPE TOUR KUFANYIKA KILIMANJARO
SERIKALI kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimethibitisha kuwa wenyeji wa mashindano ya Gofu Europe Tour yatakayofanyika Aprili 7 hadi 10 mwaka huu katika viwanja vya Kilimanjaro Jijini Arusha. Mashindano hayo yana lengo la kuunga mkono wa juhudi ya serikali chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan kuendeleza utalii nchini. Mwenyekiti wa…