
AL AHLY YATWAA TUZO TIMU YA MWAKA AFRIKA, DIAMOND ATOA SHOO
KWA mara ya pili mfululizo Klabu ya Al Ahly ya Misri ambao ni Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2024 imeshinda tuzo ya timu ya mwaka 2024 kwa ngazi ya klabu huku msanii kutoka Tanzania, Diamond akipiga bonge moja ya shoo. Kwa upande wa Wanawake tuzo hiyo imekwenda kwa timu ya wanawake ya TP Mazembe…