
LIVERPOOL MOTO HAUZIMI, SALAH NI MWENDO WA REKODI
WAKIWA ugenini Liverpool walikomba pointi tatu muhimu dhidi ya Tottenham kwa ushindi wa mabao 6-3 mchezo wa Ligi Kuu England ambapo moto wao sasa hauzimi kutokana na mwendelezo wa kusaka ushindi ndani ya uwanja. Mabao ya Diaz alitupia mara mbili dakika ya 85, 23, Mohamed Salah dakika ya 54, 61, Szoboszlai dakika ya 45 na…