
MERIDIANBET MKUCHU CUP IMEHITIMISHWA KWA MATEMBEZI YA HISANI!
Meridianbet kwa kushirikiana Emanuel Mkuchu (muandaaji wa Meridianbet Mkuchu cup) pamoja na Taasisi ya Bega kwa Bega na Mama, walishirikiana kuandaa matembezi ya hisani yaliyoambatana na ufanyaji usafi wa zahanati ya Kunduchi ikiwa ni pamoja na kutoa vifaa tiba na vifaa vya usafi wa ndani na nje ya zahanati hiyo. Zoezi hilo lililofanyika Februari 26,…