AJIBU KUIKOSA SIMBA LEO KWA MKAPA

KIUNGO Ibrahim Ajibu ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC kuna uwezekano asianze kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba zinahitaji pointi tatu muhimu ambapo kwa upande wa Azam FC, Idd Aboubakhari, Kocha wa Makipa wa Azam FC amesema kuwa wanatambua Simba ni…

Read More

SIMBA SC V AZAM FC MWENDO WA HESHIMA, AJIBU OUT

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anawaheshimu wapinzani wake Azam FC ambao atakutana nao Uwanja wa Mkapa leo Januari Mosi, 2022 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.   Huu ni mchezo wa kwanza kwa vigogo hawa kukutana msimu wa 2021/22 na unapigwa siku ya kwanza ya mwaka 2022. Akizungumza mbele ya Waandishi wa…

Read More

CHAMA, SIMBA MAMBO SAFI!

AMINI usiamini, sasa ni wazi kuwa zile kelele juu ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa RS Berkane, Clatous Chama, zimeisha namna hii, baada ya kuvuja kwa siri ya kwamba tayari Simba imemalizana na mchezaji huyo na tayari wamemrejesha nyumbani kwao Lusaka, Zambia. Takriban miezi mitatu sasa, gumzo la jiji ni juu ya usajili wa Chama,…

Read More

DAKIKA 45, YANGA 1-0 DODOMA JIJI

UWANJA wa Mkapa, Desemba 31, mchezo wa Ligi Kuu Bara dakika 45 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0Dodoma Jiji. Mtupiaji wa bao ni Fiston Mayele ambaye amepachika bao hilo akiwa ndani ya 18. Ilikuwa ni dakika ya 41 bao hilo ameweza kulioachika kwenye mchezo wa leo ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Yanga wameweza kumiliki mpira kwa…

Read More

NKANE NA YANGA NI SUALA LA MUDA TU

NYOTA wa Biashara United, Denis Nkane na Yanga kwa sasa unaweza kusema kilichobaki ni suala la muda tu kutambulishwa. Jana alikuwa na kazi ya kupambania timu yake ya Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC na waliweza kugawana pointi mojamoja. Kwenye mchezo huo ni yeye aliweza kufunga bao la pili…

Read More

SAKATA LA AUBA LAMUIBUA NYOTA HUYU

NYOTA wa zamani wa Newcastle Utd, Alan Shearer amesema anaamini wachezaji wa Arsenal wamekubaliana na maamuzi ya kocha wao Mikel Arteta kuhusu kumvua unahodha Pierre Emerick Aubameyang pamoja na kumtoa kwenye mipango yake kwasasa. “Ilikuwa uamuzi mkubwa na wa kijasiri kutoka kwa Arteta kufanya kile alichokifanya kwa sababu Aubameyang ni nahodha na mshahara ambao analipwa…

Read More

NAMUNGO FC YAMPATA MRITHI WA MOROCCO

KLABU ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza benchi jipya la ufundi ambalo litainoa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Hiyo ni baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Hemed Morocco kuomba kujiweka kando kuinoa timu hiyo kutokana na mwendo ambao haukuwa mzuri kwenye mechi za ligi kwa msimu huu. Namungo imemtambulisha Hanour…

Read More

VIDEO:KOCHA SIMBA:AZAM FC INA WACHEZAJI WAZURI

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Azam FC ni moja ya timu imara na ina wachezaji wazuri hivyo kuelekea kwenye mchezo wao wa kesho Januari Mosi 2022 wanatarajia kupata upinzani mkubwa. Aidha Pablo amebainisha kwamba ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni ushindi kwa kuwa maandalizi yameanza kwa muda mrefu na wachezaji wanatambua kwamba…

Read More

MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO

WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana na kasi yao ya kutupia kwa Fiston Mayele wa Yanga na Meddie Kagere wa Simba kuzidi kuwa kubwa. Mfalme kwenye suala la kutupia kwa msimu uliopita ni nahodha wa Simba, John…

Read More

UNGANISHA MIGUU NA KICHWA CHA AJIBU ILI TUPATE MAJIBU

IBRAHIM Ajibu Migomba, sasa ametua Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akiandika rekodi ambayo wameiweka wachezaji wachache sana iwe kwa wazalendo au wa kigeni. Tayari sasa ameandika rekodi ya kuzichezea timu zote tatu kubwa za Dar es Salaam au Tanzania, nazungumzia Simba, Yanga na sasa Azam FC. Simba amekulia, amecheza au kukaa muda mrefu…

Read More