
ALLIANCE FC KUANZA NA NJOMBE MJI 8 BORA
WAKATI kesho Ijumaa michuano ya fainali ya Ligi Daraja la Kwanza hatua ya nane bora ikitarajia kuanza kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza, Kocha Mkuu wa Alliance FC, Ibrahim Makeresa amesema kikosi chake kipo tayari kwa kazi. Kocha huyo amesema kuwa kila mchezaji yupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi za hatua ya 8…