
NABI: KMC WAGUMU LAKINI LAZIMA TUSHINDE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameonyesha kuwa hataki kufanya mchezo katika suala la kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hii ni baada ya kuwaambia mastaa wake kuhakikisha wanakuwa na mawazo ya pointi tatu tu, katika mchezo wao ujao dhidi ya KMC. Kuelekea mchezo huo dhidi ya KMC utakaochezwa Jumamosi ijayo, kikosi cha…