TABORA UNITED NGUVU ZAO NI FA SASA

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa kwa sasa wameanza maandalizi kuelekea mchezo wao wa Azam Sports Federation dhidi ya Nyamongo kutoka Musoma. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara uliochezwa Februari 19 ubao ulisoma Tabora United 0-0 Azam FC wakagawana pointi mojamoja. Pointi moja kwa Azam FC imewapa jumla ya pointi 36…

Read More

NYOTA WA AZAM FC WASUKWA KUIKABILI YANGA

ZIMEBAKI siku tatu kabla ya Mzizima Dabi kupigwa ndani ya Uwanja wa Azam Complex, mastaa wa Azam FC ikiwa ni pamoja na Prince Dube, James Akamiko, Idd Suleiman, (Nado) wanapewa mbinu kuikabili Yanga. Mastaa hao wapo chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo aliyetoka kukiongoza kikosi kusepa na pointi tatu ugenini dhidi ya Coastal Union, kwenye…

Read More

USAJILI WA YANGA KUITIKISA NCHI, ALLY KAMWE ATAMBA

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa nchi kwa usajili mkubwa watakaofanya. Usajili wa dirisha dogo ulifunguliwa Desemba 16, 2022 na unatarajiwa kufungwa Januari 15, 2023, huku Yanga ikiwa tayari imemsajili kiungo, Mudathir Yahya. Akizungumza na Spoti Xtra, Kamwe alifunguka kuwa: “Kwa…

Read More

JE UMESHAWAHI KUBASHIRI BILA INTANETI? UNAWEZA HILI UKIWA NA MERIDIANBET USSD!

Hauhitaji kuwa gwiji wa ubashiri kushinda beti! Watu wengi Duniani wamekuwa wakipenda kubashiri mechi mbalimbali na kujiweka katika nafasi ya kushinda pesa kubwa, ambazo wakati mwingine hubadilisha kabisa maisha yao. Lakini je ulishawahi kubashiri kwa kutumia kitochi au bila bando? Tunaweza kusema kwa simu ya batani, kwa kitochi, au kiswaswadu uukiwa huru bila kutumia Intaneti? …

Read More

SAUTI:MAYELE ATANGAZA HALI NYINGINE,APANIA KUFUNGA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba mshambuliaji wao Fiston Mayele kwa sasa hesabu zake ni kuweza kufunga mabao zaidi baada ya kukosa penalti mbele ya Tanzania Prisons. Ilikuwa Mei 9,2022 Uwanja wa Mkapa Mayele aliweza kukosa penalti hiyo kwenye mchezo wa ligi na ni penalti ya kwanza kwa Yanga kukosa. Fredrick Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa…

Read More

VIDEO:HAJI MANARA KUOMBA MBINU KWA SIMBA

HAJI Manara, Mtanzania ambaye ni balozi wa Timu ya Taifa ya Burundi, leo Juni 6,2022 amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon kwa timu ya Taifa ya Burundi dhidi ya Cameroon iliyo kundi C unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Juni 9 ni wakati wa Watanzania pamoja na Warundi kuungana kuweza kuishangilia Burundi. Pia amesema…

Read More

YANGA WAKIMALIZA DINNER KUIBUKIA MBEYA NA NDEGE MAALUMU

INJINIA Hersi Said, Rais wa Yanga amesema kuwa watandoka na ndege maalumu leo Juni 5 kuelekea Mbeya ikiwa imelipiwa na Serikali. Yanga baada ya kufika fainali na kumaiza kwa ushindi dhidi ya USM Alger licha ya kushindwa kutwaa ubingwa walicheza mchezo wa ushindani katika kusaka nafasi ya kutwaa ubingwa lakini malengo hayakutimia. Kutokana na hayo…

Read More

USHAURI WA JEMBE KWA HAJI MANARA HUU HAPA

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Akifanya mahojiano maalum na Mwandishi wa Habari wa Global TV, Jembe amenukuliwa akisema:“Mimi natakuwa…

Read More

BALAA LA DATA ZA SOPU STARS HILI HAPA

MCHEZO wa kwanza walipokutana aliwafunga ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Somalia 0-1 Tanzania walipokutana mara ya pili akawafunga tena. Anaitwa Abdul Suleiman,’Sopu’ kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Star ambaye anafanya kazi ngumu kuwa nyepesi. Alihusika kwenye mabao mawili wakati Stars ikishinda 2-1 Somalia kwenye mchezo wa pili,Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga…

Read More