IJUE SABABU YA MASHINDANO MAPYA AFRIKA

RAISI wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika, Patrice Motsepe ametangaza kuanzishwa kwa mashindano mapya ya vilabu Afrika yatakayo julikana kama “CAF Super League” alipokuwa akizungumza katika mkutano mkuu wa CAF uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha nchini Tanzania. Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi Agosti,2023 ikihusisha timu 24. Malengo makubwa ya michuano hiyo ni kusaidia timu…

Read More

ARTETA YUPO ARSENAL MPAKA 2025

KLABU ya Arsenal imemuongezea dili jipya Kocha Mkuu Mikel Arteta hivyo atakuwa hapo mpaka mwaka 2025 akikinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England. Pia kocha wa timu ya Wanawake, Jonas Eidevall yeye atakuwa ndani ya timu hiyo mpaka msimu wa 2023/24 ndani ya timu hiyo. Arteta, alijiunga na timu hiyo mwaka 2019,ameweza kuiongoza timu hiyo…

Read More

SIMBA AKILI KWA ASEC MIMOSAS ZIPO HIVI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ASEC Mimosas. Timu hiyo inatarajiwa kusaka ushindi kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi Uwanja wa Mkapa Novemba 25 ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa…

Read More

KIUNGO SAKHO HANA PRESHA KUHUSU YANGA

WINGA wa kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho, amesema wala hana presha kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, huku akibainisha kwamba, anauchukulia mchezo huo kama mingine aliyowahi kucheza. Sakho ambaye amejiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu, amekuwa moja ya wachezaji bora ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango alichokionesha…

Read More

SIMBA NDANI YA DUBAI KAMILI KWA KAMBI

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Dubai ambapo kitakuwa huko kwa ajili ya kambi ya muda wa siku saba. Ni Jnuari 7,2023 msafara wa kikosi hicho ulikwea pipa na kuibukia Dubai. Miongoni mwa msafara huo kulikuwa na benchi la ufundi pamoja na viongozi bila kuwasahau wachezaji ambao wanakkazi ya kusaka ubingwa wa ligi, Kombe la Shirikisho…

Read More

KAGERA SUGAR KUJIPANGA UPYA

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa watajipanga kwa mechi zijazo ili kupata matokeo mazuri. Timu hiyo kwenye mchezo uliopita ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Maxime amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kuwaandaa wachezaji wake kupata matokeo mazuri kwenye mechi za ligi na wanaamini watarejea kwenye…

Read More

HOT KENO KASINO, SHINDA MAMILIONI

Kasino imejaa utajiri! Moja ya michezo inayoweza kukupa hela kubwa leo, ni mchezo wa namba unaofanya vizuri madukani na kwenye kasino ya mtandaoni, mchezo huu wa kasino unaitwa Hot Keno. Jisajili hapa ili uwe Milionea kwa dau lako dogo tu. Mchezo wa Hot Keno ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Meridianbet uliotengenezwa na EGT…

Read More

REKODI MPYA KWA YANGA KIMATAIFA

HATIMAYE Yanga imetinga hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupita miaka 25. Ushindi wa bao 1-0 Al Merrikh, Uwanja wa Azam Complex umewapa tiketi ya kuvunja rekodi hiyo. Bao la mzawa Clement Mzize dakika ya 66 limetosha kuwapa ushindi Yanga kwenye mchezo wa nyumbani. Ni ushindi wa jumla ya mabao 3-0…

Read More

NAMUNGO WANA JAMBO LAO HUKO

UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Timu hiyo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa kocha wa viungo Shadrack Nsajigwa baada ya Denis Kitambi kupewa Thank You anatajwa kuibukia Geita Gold baada ya Hemed Morroco kubwaga…

Read More

MUHIMU KUWA NA MAANDALIZI BORA KILA WAKATI

MWENDELZO mzuri unahitajika kwa wachezaji wote katika mechi ambazo wanacheza. Hali bado haijawa nzuri kwa baadhi ya wachezaji kufikiria mpira ni matumizi ya nguvu kubwa mwanzo mwisho. Ipo wazi kuwa mpira wa mchezo huwezi kuacha kutumia nguvu lakini ni muhimu kuwa makini. Kwenye msako wa pointi tatu ila ni muhimu kuwa makini katika kutimiza majukumu….

Read More