KILICHOMUWEKA NJE AJIBU CHATAJWA

NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Ibrahim Ajibu ameweza kurejea katika kikosi hicho hivyo anatarajiwa kuwa miongoni mwa wale watakaoonyesha makeke kwa mechi zijazo. Ingizo hilo jipya ndani ya Azam FC msimu huu liliibuka hapo kutokea ndani ya Simba na halijawa kwenye mwendo mzuri. Sababu kubwa za kukosekana kwenye kikosi hicho ni matatizo ya kifamilia…

Read More

IHEFU YAACHA POINTI TATU KWA NAMUNGO

KLABU ya Ihefu ikiwa ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliacha pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika ubao uliposoma Namungo 2-0 Ihefu. Katika mchezo huo Fikirini Bakari kipa wa Ihefu aliokoa mkwaju wa penalti dakika ya tatu Novemba 23.  Keneth Kunambi alionyeshwa kadi nyekundu ya mapema zaidi dakika ya pili…

Read More

YANGA WAKIMALIZA DINNER KUIBUKIA MBEYA NA NDEGE MAALUMU

INJINIA Hersi Said, Rais wa Yanga amesema kuwa watandoka na ndege maalumu leo Juni 5 kuelekea Mbeya ikiwa imelipiwa na Serikali. Yanga baada ya kufika fainali na kumaiza kwa ushindi dhidi ya USM Alger licha ya kushindwa kutwaa ubingwa walicheza mchezo wa ushindani katika kusaka nafasi ya kutwaa ubingwa lakini malengo hayakutimia. Kutokana na hayo…

Read More

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KAGOMA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo bega kwa bega na mchezaji wao Yusuph Kagoma na unatamba naye kwa kuwa anasifa zote za kuwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Mechi mbili za Ligi Kuu Bara Fadlu ameongoza na kuhushudia kikosi hicho kikipata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tabora United kwa mabao…

Read More

KOCHA YANGA ANAFIKIRIA KUHUSU TAJI LA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ni hatua nzuri kuwania Kombe la Shirikisho la Azam ambalo msimu uliopita walipoteza katika mchezo wa fainali. Taji hilo lipo mikononi mwa Simba inayonolewa na Pablo Franco nayo imetinga hatua ya 16 bora kwa…

Read More

NYAKUA MAOKOTO KUPITIA 40 LUCKY SEVENS

Mamilioni yanaweza kua ya kwako leo kwa kucheza mchezo wa kasino wa 40 Lucky Sevens ambao umekua mchezo pendwa kwasasa na kutoa mamilionea kila uchwao. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama…

Read More

YANGA, SIMBA ZAMUWANIA KIUNGO WA KAZI

UONGOZI Klabu ya DC Motema Pembe ya nchini DR Congo,unaomiliki kiungo wa kazi Karim Kimvuid Kiekie umebainisha kwamba kuna timu kubwa Bongo zinahitaji saini yake.  Kiekie kwa sasa ana umri wa miaka 19, ni miongoni mwa wachezaji wanaotamba kwa sasa nchini DR Congo ambapo akiwa katika umri huo tayari amefanikiwa kuitumikia timu ya taifa katika michuano ya CHAN iliyofanyika mwaka jana nchini Cameroon.  …

Read More

AZAM FC BADO HAIJAFIKA KWENYE UBORA WENYEWE

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata Azam anayoitaka na ubora wa kikosi chake kwa sasa hauzidi asilimia 65 hivyo bado jambo lao ni kusaka uimara kwa asilimia kubwa. Moalin amefunguka kuwa kuna levo ya ubora ambayo anahitaji kuiona kwenye timu yake, jambo ambalo bado analifanyia kazi kwa sasa…

Read More

KAGERA SUGAR KUREJEA WAKIWA IMARA

MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa waterejea kwenye mechi zilizobaki wakiwa imara kwa kupata matokeo chanya. Timu hiyo haina bahati dhidi ya Yanga msimu huu wa 2022/23 kwa kufungwa nje ndani mchezo wa kwanza ilitunguliwa bao 0-1 na ule mzunguko wa pili ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 5-0 Kagera…

Read More

MTIBWA SUGAR:TUNA BAJETI YA MIAKA 40

THOBIAS Kifaru,Ofisa Habari mwenye uwezo mkubwa wa kuzungumza na nidhamu kubwa katika kazi yake ameweka wazi kwamba timu hiyo ina bajeti ya kujiendesha kwa muda wa miaka 40. Mtibwa Sugar kwa sasa inatumia Uwanja wa Manungu ambao ulikuwa umefungiwa kwa muda ili kuweza kufanyiwa maboresho na kwa sasa tayari umeruhisiwa kutumika. Mchezo uliopita Mtibwa Sugar…

Read More