
MANCHESTER CITY BADO WAPO JUU KWA POINTI MOJA
BADO Manchester City ni vinara wa Ligi Kuu England wakiwa wametofautiana pointi moja na wapinzani wao Liverpool. Zote zimecheza jumla ya mechi 31 ndani ya Ligi Kuu England msimu wa 2021/22 ambao ushindani wake ni mkubwa. Ni pointi 74 zipo kibindoni huku Liverpool wakiwa na pointi 73 kibindoni na ni mechi 22 wameshinda Liverpool huku…