
MZIZE KWENYE HESABU KUBWA KIMATAIFA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amesema kuwa furaha kubwa ni kuona wanaendelea kuwa kwenye mwendelezo wa kupata matokeo kwenye mechi za kimataifa ili kufanikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga ikiwa Uwanja wa Mkapa iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 TP Mazembe huku kamba mbili zikifungwa na Mzize na…