
GUSA ACHIA TWENDE KWAO….!! YATIMUA KOCHA WA FOUNTAIN GATE KMC
Fountain Gate yalivunja benchi lote la ufundi baada ya kupokea kipigo cha bao 5-0 mbele ya Yanga SC.
Fountain Gate yalivunja benchi lote la ufundi baada ya kupokea kipigo cha bao 5-0 mbele ya Yanga SC.
GUSA achia twende kwao ya Yanga leo Desemba 29, 2024 imezaa jumla ya magoli 13 kwenye mechi tatu zilizopita baada ya kushusha kipigo cha 5-0 dhidi ya Fountain Gate Fc katika dimba la KMC Complex. Yanga ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi imefunga jumla ya magoli 32 huku ikiruhusu magoli sita na…
Watu takriban 124 kati ya 181 hadi sasa wamethibitika kufariki dunia baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupata ajali na kudondoka wakati inatua katika uwanja wa ndege wa Muan nchini Korea Kusini ilipokuwa ikitokea Bangkok, Thailand. Video mbalimbali mtandaoni zinaonesha ajali hiyo ya ndege aina ya Boeing 737-800 inayosimamiwa na Shirika la ndege la Jeju Air,…
LICHA ya Simba kuvuna pointi tatu mbele ya Singida Black Stars kwa bao la Fabrice Ngoma dakika ya 42 ulikuwa ni mchezo wa mabavumabavu mwanzo mwisho. Metacha Mnata kabla ya kufungwa alikuwa anapoteza zaidi ya sekunde 15 akiwa na mpira na baada ya Simba kufunga hali ikahamia kwa Mousa Camara. Ni dakika 4 ziliongezwa kipindi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa matokeo waliyopata nyuma hawatayaangalia badala yake watapambana kupata pointi tatu mbele ya Fountain Gate. Yanga Desemba 29 2024 inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Fountain Gate, Uwanja wa KMC na mchezouliopita walishinda ugenini Dodoma Jiji 0-4 Yanga. Ni pointi 36 Yanga imekusanya baada ya mechi 14…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti. Timu zote mbili ambazo zimekuwa kwenye mwendo mzuri zipo tayari kwa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa Kwa upande wa kipa ni Mousa Camara, mabeki ni Shomari…
Arsenal imekwea mpaka nafasi ya pili kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ipswich Town katika dimba la Emirates huku iikiporomosha Chelsea mpaka nafasi ya tatu. Washika Mitutu wamefikisha pointi 36 baada ya mechi 18, alama 6 nyuma ya vinara, Liverpool ambao wamecheza mechi moja pungufu. FT: Arsenal 1-0 Ipswich ⚽ 23’ Havertz
WAKATI mwamba Maxi Nzengeli akiwa chini ya uangalizi maalumu ndani ya Yanga bado kiungo Clatous Chama atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate. Chama hakuwa kwenye mechi iliyopita dhidi ya Dodoma Jiji wakati ubao wa Jamhuri, Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 0-4 Yanga mabao mawili ya Clement Mzize, Prince Dube alitupia bao…
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC ni namba moja kwa wakali wa kutengeneza pasi za mwisho. Nyota huyo katoa pasi 9 msimu wa 2024/25 ambapo mbili alitoa kwenye mchezo dhidi ya JKT Tanzania Desemba 27 2024 ubao wa Uwanja wa Azam Complex uliposoma Azam FC 3-1…
Meridianbet na Expanse Studios, sehemu ya Golden Matrix Group (GMGI), zimepanua rasmi huduma zao hadi kwenye soko la Marekani. Hii ni hatua kubwa kwa kampuni zinazojulikana kwa michezo ya kuvutia na mafanikio katika masoko ya kimataifa. Soko la michezo ya social casino nchini Marekani lina thamani kubwa na ukuaji wa haraka. Kwa michezo yao zaidi…
Leo imekua siku nzuri kwa familia kadhaa katika eneo la Sinza Uzuri ambapo Meridianbet wamefika katika eneo hilo wakihakikisha wanarejesha furaha kwa familia hizo kwa kutoa mahitaji ambayo yatawasaidia. Meridianbet leo wamefika eneo la Sinza Uzuri jijini Dar-es-salaam na kuhakikisha wanatoa msaada wa mahitaji ya chakula kwa familia kadhaa ambazo hazina uwezo wa kutosha, Hii…
Wapenzi wa michezo ya kubashiri mnaalikwa kushiriki katika Mashindano ya Expanse Slot, yaliyopo mubashashara katika tovuti ya Meridianbet hadi Desemba 31, 2024. Tukio hili maalum linapatikana kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye tovuti na programu ya Meridianbet. Washiriki wanayo nafasi ya kushiriki michezo mbalimbali ya Expanse slot na kushindania zawadi za kusisimua. Ili kushiriki mashindano haya,…
UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Desemba 28 2024 wanachohitaji ni pointi tatu muhimu. Singida Black Stars baada ya kucheza mechi 15 imepata ushindi kwenye 10 ikiambulia sare katika mechi 3 na kupoteza ni mechi mbili pekee ndani ya msimu wa 2024/25….
HII hapa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ushindani wake unazidi kuwa mkubwa kila iitwapo leo ndani ya uwanja. Desemba 27 2024 Azam FC v JKT Tanzania, saa 1:00 usiku itakuwa Uwanja wa Azam Complex. Desemba 28 2024 Singida Black Stars v Simba, saa 10:00 jioni, itakuwa Uwanja wa Liti. Dodoma Jiji v Mashujaa,…
Unaweza kuufungua mwaka kibabe kabisa kwa kushinda kitita cha milioni moja kupitia shindano la Expanse linalohusisha michezo ya kasino, Cheza michezo ya kasino ya Expanse kupitia Meridianbet uweze kuufungua mwaka shangwe. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamegawa dozi ya 4G kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Bank. Ni Merry Christmas 2024 ambapo Dodoma Jiji ni mashuti matatu pekee yaliyopigwa na kulenga lango huku Yanga mashuti matano na manne yalijaa nyavuni. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Jamhuri,…
MWAMBA Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba ambaye bado hajawa imara ndani ya uwanja kwenye mechi ngumu amekuwa ni mkali wa kucheka na nyavu msimu wa 2024/25 katika kikosi cha Simba. Desemba 24 dhidi ya JKT Tanzania iliyokuwa imara kwenye ulinzi alifunga bao moja dakika za jioni akifikisha mabao 7 ndani ya ligi akiwa ni…