
YANGA YAKOMBA TATU ZA PRISON, BACCA, DUBE, MZIZE, WATUPIA
UBAO wa Uwanja wa KMC, Complex umesoma Yanga 4-0 Tanzania Prisons ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Clement Mzize dakika ya 13, Ibrahim Bacca dakika ya 42, 83 na Prince Dube dakika ya 45. Kwenye mchezo wa leo Bacca amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Rekodi zinaonyesha kuwa katika mechi tano zilizopita…