
YANGA YATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao Coastal Union wanahitaji pongezi kwa kuwa sio jambo rahisi kupeleka timu kukabiliana na Yanga. Ujumbe huo ni kama dongo kimtindo kwa watani zao wa jadi Simba ambao Machi 8 2025 mchezo wao wa Kariakoo Dabi ulighairisha kutokana na kile ambacho Simba walieleza kuwa hawakupewa nafasi…