
SIMBA: KUPOTEZA KIMATAIFA KUSITUTOE KWENYE RELI
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kupoteza mchezo wao uliopita kimataifa dhidi ya Constantine kusiwatoe kwenye reli kwa kuwa malengo ni kupata ushindi katika mechi zijazo na hesabu kubwa ni kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ipo wazi kwamba wakiwa ugenini Simba walipata bao la kuongoza…