KUMBILAMOTO CUP HAWA HAPA KUKIWASHA FAINALI

WANAUME 22 wanatarajiwa kuwa kwenye kazi msako wa mshindi wa taji la Kumbilamoto Cup 2024 kwenye fainali inayosubiriwa kwa shauku kubwa. Mashindano hayo yenye ushindani mkubwa yalianza kutimua vumbi Septemba 16 2024 na mchezo wa ufunguzi uliwakutanisha wababe wawili ambao ni Watasu FC ilikuwa dhidi ya Bodaboda na wote hawajafika katika hatua ya fainali. Desemba…

Read More

YANGA WANAZIDI KUIMARIKA

BAADA ya kukiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi mbili ambazo ni dakika 180 kocha mpya wa timu hiyo amebainisha kuwa wanazidi kuimarika taratibu kutokana na mwendo wa timu hiyo ndani ya uwanja. Mchezo wa kwanza kwa kocha huyo ilikuwa dhidi ya Al Hilal ambao ulikuwa ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya dakika 90…

Read More

SIMBA KWENYE HESABU KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa kuna ushindani mkubwa ndani ya uwanja jambo ambalo wanafanya kazi kila wakati kuhakikisha wanakuwa bora wakiwa kwenye hesabu za kucheza ugenini kimataifa mchezo ujao. Fadlu amekiongoza kikosi cha Simba katika mechi 11 za ligi ushindi mechi 9, sare moja na kichapo ilikuwa dhidi ya Yanga, Uwanja…

Read More

KIPA CAMARA ATUMA UJUMBE HUU

MLINDA mlango namba moja wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Moussa Camara amesema kuwa bado kazi inaendelea kimataifa watapambana kufanya kweli na kupata matokeo katika mechi zijazo. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos, uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 27 2024 Camara aliokoa penati dakika…

Read More

HII HAPA RATIBA LIGI KUU BARA BONGO

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo leo Novemba 30 kuna mechi za funga Novemba 2024 kwa wababe kuwa uwanjani kusaka ushindi. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic itakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa. Ni saa 12:30 jioni, Namungo wataikaribisha Yanga kwenye mchezo huo wa…

Read More

TAMBO ZATAWALA KWA VINARA WA LIGI SIMBA

TAMBO zimetawala kwa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba kwa kubainisha kuwa licha ya kukutana na ushindani mkubwa kwenye mechi za hivi karibuni bado walipambana na kupata ushindi ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba kikosi cha Simba bado hakijawa kwenye ubora wa asilimia 100 kutokana na wachezaji wake wengi kuwa ni wageni huku Kocha…

Read More

FEISAL GARI LIMEWAKA HUKO

KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Azam FC, Feisal Salum gari limewaka huko kutokana na kasi yake ya kucheka na nyavu kuendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 28 2024 ukisoma Azam FC 2-1 Singida Black Stars ambayo imetoka kuachana na Patrick Aussems ambaye alikuwa kocha mkuu…

Read More