AZAM FC YAUFIKIRIA UBINGWA WA LIGI

NYOTA wa Azam FC, Idd Suleiman, (Nado) ameweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuona kwamba wanatwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu mpya wa 2024/25 kutokana na maandalizi mazuri ambayo wanayafanya kwa sasa. Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo imeweka kambi Morocco ikiwa ni mwendelezo wa kuelekea msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na…

Read More

UBAYA UBWELA UWANJA WA MKAPA KITAUMANA

UBAYA ubwela itakuwa Uwanja wa Mkapa kwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda kitaumana kwa wababe hao ndani ya uwanja kusaka ushindi na utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Katika usajili Simba haijatikisa kwenye anga la Bongo kutokana na kuwa na wachezaji…

Read More

YANGA:HAO SIMBA NI WAKAWAIDA TU

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kwamba wapinzani wao Simba ni wa kawaida, hivyo hawana hofu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, 2022. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga, amesema wachezaji wao wapo tayari na wanatambua kwamba mchezo huo ni muhimu kupata pointi tatu ili kuufikia ubingwa wa ligi hiyo. “Ipo wazi…

Read More

AZIZ KI AFICHUA SIRI YA MABAO YAKE

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga amefichua kuwa mabao yake anayofunga ni kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo kwenye kila mchezo ambao atapata nafasi ya kucheza. Nyota huyo katupia mabao 9 kibindoni akiwa na pasi tano za mabao baada ya kucheza jumla ya mechi 23 ndani ya msimu wa 2022/23. Ni…

Read More

LIVERPOOL WAPATA SARE KWA MSAADA WA VAR

KIKOSI cha Liverpool licha ya kupata sare bao kina kazi kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la FA dhidi ya Wolves. Kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Anfield ilibaki kidogo watunguliwe lakini VAR iliwaokoa kwa kuligomea bao la Toti alilofunga dakika za mwisho katika sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Anfield. Toti aliifunga dakika ya…

Read More

CHAMA, AZIZ OUT YANGA

MASTAA wanne Yanga bado hali zao hazijawa imara kutokana na kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mechi zao za ushindani zilizopita hivyo kuna hatihati wakakosekana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mashujaa, Uwanja wa KMC, Complex. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo wachezaji ambao bado hawajawa imara kwa ajili ya mechi…

Read More

BEKI WA WAARABU HUYU VITENDO VYAKE NI OVYO

LEGEND kwenye ulimwengu wa Habari za Michezo Bongo, Saleh Ally Jembe ameweka wazi kuwa beki chipukizi kutoka Rwanda ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Al Ahli Tripoli ni mchezaji wa Hovyo kutokana na vitendo vyake kutokuwa vya kiungwana. Ikumbukwe kwamba Al Ahli Tripoli imefungashiwa virago na Simba ya Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe…

Read More

SIMBA YATUMA UJUMBE KWA MASHABIKI KUONGEZA ULINZI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Simba amesema Wanasimba wote wenye tiketi za Simba Day wajitahidi kuzilinda. Agosti 6 2023 ni kilele cha Simba Day ambapo watafanya tamasha lao kwa kutambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi cha Simba msimu wa 2022/23. Miongoni mwa wachezaji wapya ndani ya Simba ni Fabrice Ngoma ambaye alikuwa…

Read More

BADO MANCHESTER UTD INA NAFASI YA KUFUZU 16 BORA

Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3 dhidi ya Galatasaray ugenini. Man United walikwenda kwenye mchezo wakiwa na matumaini ya kupata pointi tatu na walianza vizuri wakiongoza 2-0 baada ya dakika 18 tu. Fernandes alitoa pasi ya ufunguzi kwa Rasmus…

Read More