MO DEWJI AMTEUA TENA TRY AGAIN SIMBA

Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO) ametoa taarifa rasmi kuhusiana na kinachoendelea Simba SC baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi Salim Abdallah Muhene Try Again kutangaza kujiuzulu pamoja na Wajumbe wa upande wa Muwekezaji. MO Dewji amethibitisha kuwa anarejea tena kuwa Mwenyekiti wa Bodi wakati Try Again anarudi katika Bodi kama Mjumbe wa upande…

Read More

YANGA WALIWAKIMBIZA REAL BAMAKO KWA MKAPA

UKIWEKA kando Yanga kusepa na pointi tatu mazima dhidi ya Real Bamako walitawala katika kila Idara huku wakicheza Kwa tahadhari licha ya kuwa wapo nyumbani. Mashuti waliyopiga ni 12 huku manne yakilenga lango na mawili yàkizama nyavuni watupiaji wakiwa ni Fiston Mayele dakika ya 8 na Jesus Moloko dakika ya 68. Bamako ni mashuti 11…

Read More

KIKOSI CHA STARS AFCON HIKI HAPA,MBWANA, FEI NDANI

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche ametangaza kikosi kitakachocheza michezo miwili ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda mechi mbili namna hii:- Aishi Manula, (Simba) Beno Kakolanya, (Simba) Metacha Mnata, (Yanga) Kibwana Shomari, (Yanga) Datius Peter, (Kagera Sugar) Yahya Mbegu, (Ihefu) David Luhende, (Kagera Sugar) Dickson Job, (Yanga) Bakari Mwamnyeto,…

Read More

AZAM FC V SIMBA,ACHA IWE NA REKODI ZAO

UKIAMINI umesimama muhimu uendelee kupambana ili usianguke itafahamika leo Mei 7, Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwenye mchezo wa nusu fainali Azam Sports Federation. Timu zote zinaingia uwanjani zikiwa na kazi ya kusepa na ushindi ili kutinga hatua ya fainali unaambiwa acha moto uwake mshindi apatikane. Hapa  tunakuletea namna uimara ulivyo kwa wapinzani hawa wawili namna…

Read More

MANCHESTER CITY HAWAAMINI MACHO YAO

VINARA wa Ligi Kuu England, Manchester City hawaamini macho yao baada ya kubanwa mbavu na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu England. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Selhurst Park ulisoma Crystal Palace 0-0 Manchester City na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. Sare hiyo inawafanya City kufikisha alama 70 wakiwa nafasi ya kwanza…

Read More

WEST HAM UNITED WAINYOSSHA LIVERPOOL

UWANJA wa London mambo yalikuwa magumu kwa Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kutulizwa kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Westham United.    Atajilaumu Alisson Ramses Becker ambaye alijifunga dakika ya nne katika harakati za kuokoa kona kisha Pablo Fornals alipachika kamba ya pili dakika ya 67 na msumari wa ushindi ulipachikwa…

Read More

MADRID NA LIVER FAINALI YAO IMEBUMA

MABINGWA watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid wataanza ugenini dhidi ya Liverpool na wababe PSG watavaana na Bayern Munich kwenye mechi za hatua ya 16 bora. Mechi za raundi hiyo zinatarajiwa kuanza kupigwa Februari 14 mpaka Machi 14, mwakani 2023 baada ya droo kuchezwa Novemba 7,2022. Liverpool na Real Madrid msimu uliopita zilikutana…

Read More

SIMBA KAMILI KUIVAA HOROYA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Februari 11,2023. Mchezo huo ni wa hatua ya makundi ambapo ni msako wa pointi tatu muhimu kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na…

Read More

BATO YA WATANI WA JADI KUPIGWA APRILI

BATO ya watani wa jadi ndani ya 2023 inatarajiwa kuwa ni Aprili 9 ndani ya Ligi Kuu Bara kwenye mzunguko wa pili wa 2022/23. Mtanage wa kwanza wababe hawa wenye ngome zao pale Kariakoo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-1 Yanga. Watupiaji wote walitupia mabao yao ndani ya kipindi cha kwanza ikiwa ni…

Read More