
HABARI ZA VURUGU KWENYE MECHI ZISIPEWE KIPAUMBELE KABISA
HABARI mbaya ambazo nimesikia kutoka kwa ndugu zetu KMC ni kwamba wamepata mateso makubwa kwenye suala la mapokezi walipokuwa kwenye mchezo wao dhidi ya Geita Gold. Sina uhakika kama ni hawahawa Geita Gold watakuwa wamefanya hivi ama kuna watu wengine ambao wapo nyuma wakitumia jina la Geita Gold lakini katika hili kwa kweli sijapenda. Ndugu…