
SIMBA KUTINGA CAF KISA KOCHA ORLANDO PIRATES
BREAKING:Klabu ya Simba leo Aprili 19 imetoa taarifa ya kuhusu malalamiko ya uongo ya Kocha Mkuu wa Orlando Pirates, Mandla Nickazi alizotoa baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo Orlando Pirates ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Taarifa hiyo imeeleza kwamba Simba imechukizwa na maneno ya kashfa yaliyotolewa na kocha huyo ambayo yanatabaisha ukosefu…