
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MCHUJO mkubwa kwa sasa ambao unaendelea kwa sasa ni kwa mapilato watakaokuwa kwenye mchezo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, Uwanja wa Mkapa. Siku 2 zimebaki kwa sasa na hapa tunakuletea wale waamuzi watano ambao waliwahi kuchezesha mechi zilizowahusu Yanga na Simba na huenda jina moja likapenya kwa wale watakaochezesha dabi ijayo na…
MARA baada ya kikosi cha Simba kutua nchini, haraka Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco alifanya kikao kizito na wachezaji wake wote kambini akiwemo Mkongomani, Hennock Inonga katika kuelekea Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu kongwe za Simba dhidi ya Yanga, mchezo ambao utapigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar…
MOJA ya mabao bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 hata ukitaja mawili,huwezi liweka kando alilofunga mzawa Shiza Kichuya anayekipiga Namungo mbele ya Yanga. Ni bao lenye majabu kati yale matatu aliyonayo aliweza kumtungua Diarra Djigui kwa mguu wa kushoto akiwa nje ya 18,Uwanja wa Mkapa. Tupo naye leo kwenye data kucheki namna…
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye alikaa langoni kwenye mechi zote za kimataifa msimu huu wa 2021/22 ambazo Simba imecheza amesema kuwa wamejiskia vibaya kutolewa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho. Mbele ya Orlando Pirates dk 90 za Uwanja wa Mkapa, Manula aliweza kushuhudia timu yake ikishinda bao 1-0 na walipowafuata…
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa kikosi cha Yanga kwa sasa kipo vizuri katika michuano ya ligi kuu jambo ambalo ni hatari kuelekea katika mchezo wa dabi dhidi ya Simba. Yanga kwa sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 13 dhidi ya Simba wanaoshika nafasi ya pili lakini wakiwa mbele kwa…
JURGEN Klopp,Kocha Mkuu wa Liverpool alikuwa shuhuda wa vijana wake wakiitungua mabao 2-0 Villarreal katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Champions League. Mbele ya mashabiki 51,586 katika Uwanja wa Anfield kipindi cha kwanza mambo yalikuwa ni magumu kwa timu zote mbili kwa kuwa halikupatikana bao. Ni Pervis Estupinan Tenorio alijifunga dk 53…
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amebainisha kwamba sio rahisi kumdhibiti Vinicius Jr ila iliwezekana kupitia kwa Fernandinho. Manchester City ilipata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa Uwanja wa Etihad. Wao City walikuwa ni wenyeji na waliibuka na ushindi…
UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kwamba wapinzani wao Simba ni wa kawaida, hivyo hawana hofu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, 2022. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga, amesema wachezaji wao wapo tayari na wanatambua kwamba mchezo huo ni muhimu kupata pointi tatu ili kuufikia ubingwa wa ligi hiyo. “Ipo wazi…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa isingekuwa ni matumizi ya teknolojia ya Video Assitance Referee, (VAR) Simba ingekuwa imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Aprili 24, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa walitolewa kwenye hatua ya robo fainali kwa changamoto za mikwaju ya penalti mbele ya Orlando Pirates ambao…
OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kwamba wanakwenda kuvunja rekodi kwa msimu huu na kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Simba, Aprili 30 wataifunga Simba na kuchukua pointi tatu muhimu.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa deni kubwa alilobakiza kwa sasa ni kuifunga Simba pekee, mara baada ya kumalizana na Namungo kama ambavyo aliwaahidi mashabiki. Mayele Jumamosi alifanikiwa kuifungia Yanga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Mara baada ya kufanikiwa kuifungia Yanga bao…
SHOMARI Kapombe beki wa kazi ngumu kimataifa mwenye mabao mawili na pasi mbili amesema kuwa alimwambia kipa wa Orlando Pirates, ‘Maharamia’ ninakufanga na kweli alimfunga. Kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali uliochezwa nchini Afrika Kusini wakati wa mapigo ya penalti baada ya jumla ya mabao ya kufungana kwa Simba kuwa 1-1, kipa wa Orlando…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 30 2022 kazi iwe ni moja tu mpira kuchezwa kwa ustaarabu huku kanuni zikifuatwa. Imekuwa kawaida kwa wengi kuhudhuria mchezo huu huku miongoni mwao wakiwa na matokeo ambayo wanayajua kwenye vichwa vyao na wakiamini kwamba itakuwa ni vile ambavyo wanafikiiria. Kama itakuwa…