
VIDEO:ISSA AZAM ASEMA YANGA WAMEKATA UPEPO
ISSA Azam shabiki wa Simba amesema kuwa Yanga imekata upepo na wameshindwa kuifunga Simba kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa,baada ya dakika 90 ubao kusoma Yanga 0-0 Simba na kuwafanya watani hao wa jadi kugawana pointi mojamoja