
PROF. JANABI ASISITIZA JAMII KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili ambaye pia ni Mshauri wa Rais kwenye masuala ya Afya na Tiba, Prof. Mohamed Janabi amesema ni muhimu jamii ikajikita katika kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kwakuwa magonjwa hayo yana usumbufu na gharama kubwa kuyatibu. Prof. Janabi ametoa wito huo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa salamu…