
KOCHA SIMBA AFANYA KIKAO NA WACHEZAJI WOTE KISA YANGA
MARA baada ya kikosi cha Simba kutua nchini, haraka Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco alifanya kikao kizito na wachezaji wake wote kambini akiwemo Mkongomani, Hennock Inonga katika kuelekea Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu kongwe za Simba dhidi ya Yanga, mchezo ambao utapigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar…