


MSOLLA OUT YANGA, ENG HERSI ABAKI PEKE YAKE URAIS YANGA …MAJINA HAYA HAPA
MCHAKATO wa uchaguzi ndani ya Klabu ya Yanga, umezidi kushika kasi ambapo jana Jumamosi orodha ya majina ya wagombea yaliwekwa wazi kwa waliopitishwa na wasiopitishwa. Upande wa wagombea nafasi ya urais, jina la Injinia Hersi Ally Said limebaki peke yake, huku makamu wa rais wakiwa ni Arafat Haji na Suma Mwaitenda. Kwa upande wa wajumbe,…

ARTETA HOFU TUPU KISA JESUS
KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta hajapenda kuona timu hiyo ikienda kwa kasi ya taratibu kuwania kuinasa saini ya Gabriel Jesus. Arteta ana hofu huenda akaikosa saini ya nyota huyo wa Manchester City ambayo ni muhimu kwake kwa ajili ya msimu ujao. Usajili uliopita Arteta alitumia pauni milioni 150 kukamilisha usajili wa Ben White,Aaron Ramsdale…

HUYU HAPA ANATAJWA KUWA KOCHA MPYA SIMBA
INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye mazungumzo na Stuart Baxter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs Kabla ya kufungashiwa virago vyake huko ili aweze kubeba mikoba ya Pablo Franco. Kwa sasa Simba ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya ambapo CV zinatajwa kuwa zaidi ya 100 mezani kwa mabosi hao ambao wapo kwenye hatua za mwisho…

AZAM FC WAJA NA HESABU MPYA KABISA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kwa msimu ujao kurejea kwa kasi na nguvu zaidi. Hizi zinakuwa ni hesabu mpya za Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Tayari matumaini ya kutwaa mataji ndani ya Azam FC yameyeyuka kwa kuwa wamefungashiwa virago kwenye Kombe…

CHAMA KARUDI ILA BADO HAJAWA FITI
LICHA ya kuanza mazoezi ndani ya kikosi cha Simba kiungo Clatous Chama bado hajawa fiti kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu akitibu majeraha ya enka. Nyota huyo wa Simba kwa sasa yupo Bongo baada ya kurejea kutoka Zambia Julai 10 ambapo alikuwa huko akipewa matibabu ya enka ambayo aliiumia kwenye mchezo wa dabi dhidi…

ISHU YA AZIZ KI IPO HIVI,NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI
ISHU ya Aziz Ki ipo hivi ndani ya Spoti Xtra Jumapili

AZIZ KI USO KWA USO NA INJINIA HERSI,SIMBA KUAMBULIA PATUPU
ISHU ya kiungo wa ASEC Mimosas Aziz KI imezidi kuleta ugumu kwa vigogo wa Dar ambapo Yanga na Simba wanaonekana kuhitaji saini yake. Ni Simba walianza kumvutia kasi kiungo huyo ambaye aliwatungua kwenye mashindano ya kimataifa kisha vinara wa ligi Yanga nao wakaanza kumvutia kasi. Inaelezwa kuwa mabosi wa Yanga wamewazidi ujanja Simba kwa kuweza…

KMC HESABU ZAO ZA MZUNGUKO WA PILI ACHA KABISA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kwamba kwa sasa hesabu zao ni kuweza kufanya vizuri mechi zilizopo mbele yao katika kumaliza mzunguko wa pili. Baada ya kucheza mechi 25 KMC imekusanya pointi 31 ipo nafasi ya 10 kwenye msimamo. Mchezo wao ujao ni dhidi ya Tanzania Prisons iliyo nafasi ya 14 na pointi 25 inapambana kujinasua…

MSIMU UNAFIKA UKINGONI SASA HESABU MUHIMU
WAKATI uliobaki kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara ni mdogo hasa ukizingatia kwamba mechi zilizobaki hazizidi 7 kwa timu zinazoshiriki ligi hivyo ni muda wa kukamilisha hesabu. Matokeo ambayo yanapatikana leo ni maandalizi ya jana hivyo kwa sasa ni muda wa kufanya maandalizi mazuri kwa ajili ya kesho. Tunaona kwamba wapo wachezaji ambao kwa sasa…

AZIZ KI ATAJWA KUMALIZANA NA MABOSI MSIMBAZI
KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast, Stephane Aziz Ki anatajwa kumalizana na mabosi wa Simba kwa dili la miaka miwili. Nyota huyo anatajwa kuingia kwenye rada za watani wa jadi wa Simba ambao ni Yanga waliokuwa kwenye mazungumzo naye. Dili ambalo Yanga walitajwa kumpa ilikuwa ni miaka mitatu na kilichokuwa kimebaki ni…

KIUNGO WA SIMBA AREJEA
CLATOUS Chama nyota wa Simba huenda atakuwa miongoni mwa nyota watakaoonyesha makeke yao kwenye mechi za ligi baada ya kuwa fiti. Mei 28, Chama alikuwa shuhuda kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kome la Shirikisho dhidi ya Yanga na timu yake ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na mtupiaji akiwa ni Feisal Saulu, huku…

VIDEO: MBWIGA AWATAJA GSM,STORI ZAKE UTACHEKA
MBWIGA azungumzia kuhusu burudani ya watoto wa Dar huku akiwazungumzia GSM pamoja na Azam pamoja na Kiba na Samatta

VIDEO:SAMAKIBA UWANJA WA MKAPA NI JUNI 18,MANARA AWAITA MASHABIKI
JUMAMOSI Juni 18/2022 Uwanja wa Benjamini Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Samakiba na Haji Manara ameweka wazi kuwa ni kwa muda wa miaka mitano jambo hili linafanyika.

KOCHA HUYU KAIZER CHIEFS ATAJWA SIMBA
IMEELEZWA kuwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Gavin Hunt yupo kwenye rada za mabosi wa Simba ili achukue mikoba ya Pablo Franco. Kocha huyo alikuwa kwenye benchi la ufundi Mei 15,2020 wakati timu yake ikishinda mchezo wa kwanza mbele ya Simba kwa mabao 4-0. Kwa sasa kikosi cha Simba kipo chini…

MJUE STAA YANGA AMBAYE AMELETWA NA AUCHO,CHAMPIONI JUMAMOSI
UTAZAME ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi

MASTAA HAWA WAMEANZA KUONYESHA MAKEKE JIONI
MUDA wa mahesabu wapo ambao huwa hawajali itakuaje zaidi ya kuendelea kupambana mpaka wanafikia lengo lao wakiamini kwamba anayecheka mwisho huwa na furaha zaidi. Kuna mastaa msimu wa 2021/22 kwao walianza kwa kusausa na sasa ligi ikiwa inakaribia kumeguka kwa shimo limeanza kutema jioni kabisa namna hii:- Jeremia Juma Staa wa kwanza kufunga hat trick…