
M-BET YAIPIGA TAFU TASWA SC
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha nchini, M-Bet Tanzania imeisaidia vifaa vya michezo timu ya Waandishi wa Habari za michezo nchini, Taswa SC kwa ajili kutimika katika shughuli mbalimbali za michezo nchini. Vifaa hivyo ni jezi na mpira ambapo Meneja Masoko wa M-Bet Tanzania, Allen Mushi amesema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuvutiwa na mwenendo…