
SIMBA YALIPA KISASI UWANJA WA MKAPA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ushindi ambao wameupata mbele ya Mbeya City ni muhimu kwao katika kuongeza hali ya kujiamini kwa mechi zijazo. Ushindi huo ni kisasi kwa Simba ambao walinyooshwa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza na kuacha pointi tatu mazima mbele ya Mbeya City. Jana Juni 16, Uwanja wa Mkapa…