AZAM FC KAMBI YAANZA RASMI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa leo itakuwa ni siku rasmi ya mastaa wao kuweza kuanza kambi ya ndani kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa na maandalizi yataanza nyumbani kabla ya safari ya kuelekea Misri. “Tutaanza na kambi ya nyumbani,Jumanne…