
RUVU SHOOTING YAOMBA KUPEWA MUDA WA MAPUMZIKO
MASAU Bwire,Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wameomba kupewa muda wa mapumziko kwa Bodi ya Ligi Tanzania,(TBLP) kwa mchezo wao dhidi ya Azam FC ili waweze kufanya maandalizi kwa kuwa wapo safarini. Bwire amesema kuwa baada ya kukamilisha mchezo wao juzi kwa sare ya bila ufungana na Kagera Sugar hawakupata muda wa kupumzika zaidi…