
KOCHA SIMBA HAELEWI KABISA MAMBO YANAVYOKWENDA
PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa haelewi namna mambo yanavyokwenda kwenye timu hiyo hasa katika safu ya ushambuiaji. Simba imekuwa kwenye mwendo wa kusuasa msimu huu wa 2021/22 ipo kwenye nafasi ya kupoteza ubingwa wao wa ligi ambao wanautetea kwa kuwa wameachwa zaidi ya pointi 10 na wapinzani wao Yanga. Ikiwa ipo nafasi ya…