
YANGA KAZINI TENA DHIDI YA MBEYA KWANZA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanaonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Ijumaa watakuwa kwenye msako wa pointi tatu. Ni mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya Kwanza utakaochezwa Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku. Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa Jumamosi ya Mei 21 sasa ngoma itapigwa Mei 20, Uwanja wa Mkapa. Yanga imetoka kushinda…