
GEITA GOLD KUIKABILI SIMBA,WATINGA CCM KIRUMBA
KLABU ya Geita Gold leo Mei 22 inatarajiwa kumenyana na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba ambao wapo nafasi ya pili na pointi zao 50. Geita Gold chini ya Kocha Mkuu, Felix Minziro imekuwa kwenye mwendo mzuri hasa mzunguko wa pili baada ya kuongeza baadhi ya nyota ikiwa ni pamoja na Juma Nyosso…