
8 BORA LIGI YA SOKA LA UFUKWENI KUANZA
LIGI Kuu ya Soka la Ufukweni inatarajiwa kuanza rasmi baada ya uchaguzi wa timu zilizoingia 8 bora kumalizika na mashindano hayo yataaza kufanyika Juni 10 katika Viwanja vya Coco Beach. Katika hizo timu zilizochaguliwa 8 bora zimepangwa katika makundi mawili kila kundi lina timu nne na kwa siku zitachezwa mechi nne ili fainali iweze kufanyika…