YANGA:HATA TUKIFUNGWA,MALENGO YAPO PALEPALE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba wanaweza kufungwa kwenye mechi za ligi ila hilo haliwataondoa kwenye mpango wa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Kwenye msimamo Yanga ni namba moja ikiwa imecheza mechi 22 na kukusanya pointi 56 ikiwa haijapoteza mchezo zaidi ya kuambulia sare 5 na kushinda mechi 17. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan…

Read More

YAJUE MAJEMBE YA KAZI NDANI YA SIMBA

MAJEMBE saba yanayovuja jasho la haki ndani ya kikosi cha Simba yamewapa kicheko Simba wakiamini kuwa hawajabahatisha kupenya kwenye orodha ya kuwania tuzo bali ubora umewabeba. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Pia Yanga Mei 28 2023 inakwenda kucheza mchezo wa fainali ya Kombe la…

Read More

DODOMA V YANGA KUPIGWA SAA 10:00 JIONI

MECHI ya Yanga dhidi ya Dodoma Jiji ambayo inatarajiwa kuchezwa Jumapili, Uwanja wa Jamhuri imebadilishwa muda kutoka ule uliopangwa awali. Awali ilikuwa ni saa 1:00 usiku mchezo huo wa ligi uchezwe na sasa unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Sababu za mchezo huo kubadilishwa muda ni kutokana na uwanja huo kuwa na matumizi mengine. Tayari timu…

Read More

RATIBA LIGI UUU BARA LEO

 LEO Septemba 7 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo timu zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Seleman Matola atakiongoza kikosi hicho ambacho kwenye mchezo wa leo baada ya Zoran Maki kufikia makubaliano ya kuvunja…

Read More

MASTAA YANGA WAPEWA ONYO NA NABI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa hataki kuona nyota wake wakifanya makosa ya kupoteza nafasi yao ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na kuwataka kuhakikisha wanacheza kila mchezo ulio mbele yao kama fainali. Yanga ambao ni vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Bara, hawakuwa na matokeo mazuri katika mashindano…

Read More

AZIZ KI WA YANGA ANA BALAA HUYO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wenzanke ndani ya uwanja katika kusaka ushindi. Ni namba moja kwa utupiaji ndani ya ligi katika kikosi cha Yanga akiwa na mabao 13.

Read More

TAIFA STARS KAZINI LEO,FEI TOTO KUIKOSA SUDAN

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo Jumanne kitacheza mchezo wa pili wa kirafiki dhidi ya Sudan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 1:00 usiku, Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema vijana wake wapo vizuri kukabiliana na wapinzani wao. Mchezo huu unakuja baada ya…

Read More

AZAM FC YABANWA MBAVU NA WAKULIMA

WAKULIMA wa alizeti, Singida Black Stars wamewabana mbavu mataji wa Dar kwenye mchezo wa ligi mzunguko wa pili kwa kukomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Liti, Aprili 6 2025 ambapo matajiri Azam FC walisepa wakiwa wameyeyusha pointi tatu mazima. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa dakika 45…

Read More

KAGERA SUGAR 1-1 SIMBA, KAITABA

BEKI wa Simba Henock Inonga amepachika bao lake la kwanza leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Ni dakika ya 38 Inonga alipachika bao hilo akiweka usawa ndani ya dakika 45. Ni Kagera Sugar walianza kumtungua Aishi Manula kipa wa Simba ambaye hakuwa na chaguo kuokoa mpira huo. Ilikuwa ni dakika…

Read More

MCHEZAJI BORA SIMBA ATUMA UJUMBE HUU BONGO

CHE Malone beki wa Simba ambaye alichaguliwa kuwa mchezaji bora kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tabora United ameweka wazi kuwa mashabiki wanawaogezea ngvu kwenye ushindani kutokana na uwepo wao hivyo waendelee kuwa nao kila wakati. Mchezo wa kwanza wa ufunguzi kwa Simba ndani ya msimu wa 2024/25 ni Simba ilivuna pointi tatu…

Read More

TAIFA STARS MNA DENI KWA WATANZANIA,INAWEZEKANA

ILIKUWA ngumu kuweza kupata ushindi kwenye mchezo wa kwanza kutokana na mbinu kuonekana kuwa ngumu pia kwa timu zote mbili. Hakika kwa mwanzo mkiwa nyumbani licha ya kwamba Somalia wao walikuwa wenyeji bado wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars mna deni la kulipa. Hakika mashabiki wanapeda kushangilia na kuona matokeo yanapatikana kwa…

Read More